Njia ya Donald Trump kupeperusha bendera ya chama cha Republican katika uchaguzi wa rais nchini Marekani baadaye mwaka huu, imekuwa nyeupe, baada ya hasimu wake mkuu Ted Cruz kujitoa katika kinyang'anyiro// Mapigano makali yameendelea usiku wa kuamkia leo baina ya vikosi vya waaasi na wanajeshi wa serikali katika mji wa pili kwa ukubwa wa Allepo nchini Syria.