Upinzani wamshutumu Tshisekedi kuanzisha kampeni ya mapema/ Mgomo wa madereva wa malori kutoka Kenya waathiri biashara/ Mataifa makubwa kinyuklia yaahidi kupunguza silaha za nyuklia/ Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi anafanya ziara ya siku nne katika nchi tatu za Afrika/ Kiongozi wa Hezbollah amshambulia mfalme wa Saudi Arabia