DR Congo- Kanisa Katoliki nchini humo limesema tayari linamjua aliyeshinda urais, na kuitaka tume ya uchaguzi isitangaze mgombea tofauti// Waziri wa mambo ya nje wa China, Wang Yi, yuko ziarani katika mataifa manne ya Afrika// Mamlaka za Ujerumani zinachunguza kisa cha kuibiwa kwa mamia ya data za taarifa za wanasiasa akiwemo Kansela Angela Merkel.