Wataalamu wanaonya kwamba mashambulizi ya kigaidi huenda yakaongezeka nchini Uturuki katika mwaka huu 2017// Nchini Uganda kuna taarifa za baadhi ya maeneo nchini humo kukabiliwa na kitisho cha njaa na ukame kutokana na mabadiliko makubwa ya hali ya hewa.