Mkutano wa kilele wa ASEAN unajadili leo ushirikiano wa kikanda wa kibiashara // Saudi Arabia imeidhinisha uorodheshwaji wa kampuni yake kubwa ya mafuta Aramco kwenye soko la mitaji // Na Ujerumani inataraji maombi ya hifadhi kupungua katika mwaka huu 2019