Jaji wa Uhispania amewaweka kizuizini watu 8 waliokuwa mawaziri katika serikali ya jimbo la Catalonia iliyovunjwa// Wajumbe kutoka mamlaka za manunuzi ya umma Afrika Mashariki wamekamilisha kongamano lao la kumi mjini Kampala, Uganda// Rais Donald Trump wa Marekani afanya ziara yake ya kwanza barani Asia.