Janga la COVID-19, limeharibu familia kote India na kuacha maelfu ya watoto wakiwa yatima au bila mzazi mmoja+++Wizara ya afya ya Rwanda imetangaza mkakati mzito wa kuanza kutoa chanjo ya virusi vya corona kabla ya kumalizika mwaka huu wa 2021+++Baada ya kipindi kirefu cha mauwaji ya zaidi wapigania demokrasia 30 nchini Iraq,haitimaye mmoja wa washukiwa ametiwa mbaroni.