Leo dunia ikiadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari// Mjadala umeshika kasi nchini Kenya, kuhusu haja ya mabadiliko ya kikatiba juu ya nafasi za uongozi// Mabadiliko yaliofanywa na utawala wa rais wa Marekani Donald Trump kwenye sheria inayojulikana kama Helms-Burton yameanza kufanya kazi, yakiruhusu kushtakiwa katika mahakama za Marekani, makampuni ya kigeni yanayofanya kazi nchini Cuba.