Rais wa Marekani Donald Trump anampokea leo kwa mazungumzo Kiongozi wa Mamlaka ya Wapalestina Mahmoud Abbas mjini Washington/ Tarehe tatu Mei ya kila mwaka ni siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari ambapo jamii ya ulimwengu husherehekea misingi ya uhuru wa kujieleza/ Hata katika nchi za kidemokrasi mfano wa Marekani na Poland, waandishi habari wanazidi kutiwa vishindo katika shughuli zao.