Kanisa katoliki nchini DRC limelaani vikali utumiaji nguvu katika kuzuwia mandamano ya waumini wa kikatoliki ya kumpinga rais Joseph Kabila// Mamia kwa maelfu ya watu wamekusanyika katika miji mbali mbali nchini Iran leo// Korea Kaskazini imefungua tena mawasiliano ya mpakani na Korea Kusini.