Ulimwengu waadhimisha siku ya kupambana na Ukimwi+++Tanzania imeanzisha mkakati wa ufuatiliaji wa kina kwa wanaokutwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi+++Libya inahesabu chini ya mwezi mmoja iingie kwenye uchaguzi mkuu+++Karibu Wakenya 89 wamekufa katika mataifa ya Ghuba, zaidi ya nusu yao wakiwa wafanyikazi wa nyumbani wa kike.