Taarifa kutoka Umoja wa Mataifa zinaeleza kuwa zaidi ya makundi 200 ya haki za binaadamu leo hii yametoa mwito kwa baraza kuu la Umoja huo kuuelezea mzozo wa Syria// Kura ya maoni imebainisha kuwa wapiga kura nchini ufaransa wanamtaka Manuel Valls kuwania urais// Rais mteule wa Marekani, Donald Trump atamteua aliyekuwa Jenerali wa Jeshi la Wanamaji, James Mattis kuwa waziri wake wa ulinzi.