Nyadhfa za juu katika Umoja wa Ulaya bado zajadiliwa/ Takriban watu 65 wamejeruhiwa katika shambulizi baya linalodaiwa kufanywa na wanamgambo wa Taliban mashariki mwa mji wa Kabul / Nchini Kongo upinzani umelalamikia utumiaji nguvu wa polisi wakati wa mandamano yao na kusababisha kifo cha mtu mmojan mjini Goma jana