Kenya inaadhimisha miaka 58 ya uhuru wake kutoka ukoloni wa Uingereza+++Wanaharakati wa masuala ya Katiba nchini Tanzania wamesema suala la upatikanaji wa katiba mpya si matakwa ya viongozi bali ni hitaji la wananchi+++Ujerumani hivi karibuni iliomba radhi kwa mauaji ya kimbari dhidi ya jamii za Waherero na Wanama wa nchini Namibia.