Mahakama ya rufani nchini Tanzania imefutilia mbali rufaa iliowasilishwa na upande wa serikali kupinga mahakama kuu kusikiliza hati ya dharura ya rufaa ya mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Freeman Mbowe// Waziri wa afya wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Dr Oly Ilunga, amekamilisha ziara yake katika mji wa Butembo.