India na Pakistan wanajikuta wakati huu katika mzozo mbaya zaidi ndani ya miongo kadhaa// Kwa muda mrefu tangu kumalizika kwa vita vya Yom Kippur vya mwaka 1973 uhusiano baina ya Israel na nchi za Afrika ulikuwa wa matatizo lakini sasa pana dalili za mabadliko// Wakaazi katika wadi ya karare jimboni Marsabit nchini Kenya, wamepinga pendekezo la serikali ya kitaifa kujenga kambi ya jeshi eneo hilo.