Watu kote duniani waukaribisha mwaka 2018 kwa Sherehe na matumaini // Kansela wa ujerumani Angela Merkel ameahidi kuboresha maisha ya Wajerumani wa tabaka tofauti mwaka 2018// Umoja wa Mataifa wamtaka Rais wa Congo Joseph Kabila kuachia madaraka baada ya Watu 8 wauawa katika maandamano jana