1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JangaAfrika

Mataifa ya Afrika na vita dhidi ya taka za plastiki

23 Novemba 2023

Mkataba wa Umoja wa Mataifa ni kati ya wajumbe wanaokutana Nairobi ambao wanaweza kuwa na maamuzi katika kukabiliana na mzozo wa kimataifa wa taka za plastiki. Hata hivyo baadhi ya mataifa ya Afrika tayari ni kinara katika juhudu za kufikia lengo la kuwa na bara endelevu bila plastiki.

https://p.dw.com/p/4ZMvq