1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala yetu leo: Athari za mafuriko nchini Tanzania

Anuary Mkama15 Mei 2024

Makala Yetu leo inaangalia athari walizopata wananchi kutokana na mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha mafuriko makubwa na uharibifu mwingine, sambamba na mikakati ya kukabiliana na madhara mengine yasijitokeze zaidi. Mwandaaji ni Anuary Mkama.

https://p.dw.com/p/4fsar