Wajumbe kutoka mataifa 45 wanaokutana Uganda wana hofu kuhusu kukabiliana na homa ya matumbo. Ugonjwa huo unaosambazwa kupitia hasa vyakula na maji ni tishio hasa kwa jamii zinazoishi katika makazi duni.
https://p.dw.com/p/2ajwe
Picha: DW/E.Lubega
Matangazo
J3.05.04.2017-Uganda: International conference on typhoid - MP3-Stereo
Typhoid huwaathiri hasa watu kwenye mazingira duni kama vile wakimbizi hawa wanaoishi kwenye kambi Kigoma, TanzaniaPicha: Reuters/T. Mukoya