1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sheria na HakiTanzania

Fadia: Nimekatwa mikono, nimegeuka tegemezi kwa familia

7 Machi 2024

Kutokuwepo na usawa wa kijinsia na ubaguzi dhidi ya wanawake na wasichana ni ukatili unaopaswa kushughulikiwa. Ni maneno ya Fadia ambae alikatwa viganja vya mikono yake na aliekuwa mumewe, ambae mahakama ilimkuta na hatia na kumfunga miaka 13 jela, lakini kwa Fadia ambae alikuwa anategemewa na familia, sasa amekuwa tegemezi maisha yote yaliobakia.

https://p.dw.com/p/4dGtU