You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Amida Issa
Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Amida Issa
Taarifa zilizoonesha na Amida Issa
Ndayishimiye: Burundi bado inao maadui licha ya utulivu
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema hali shwari ya usalama inayoshuhudiwa haina maana nchi hiyo haina maadui.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Amida Issa
Taarifa na Amida Issa
Wafungwa wanaosalia jela Burundi baada ya kumaliza vifungo
Wafungwa wanaosalia jela Burundi baada ya kumaliza vifungo
Ni kwa nini mfungwa asalie gerezani hata baada ya kumaliza kifungo chake? Ndilo swali ambalo makala ya Mbiu ya Mnyonge inaangazia kule nchini Burundi. Na je wanaofungwa kinyume cha sheria watapataje haki? Mtayarishaji wa makala ni Amida Issa akiwa mjini Bujumbura, Burundi.
Mafuriko yasababisha maelfu kukosa makazi Burundi
Mafuriko yasababisha maelfu kukosa makazi Burundi
Ofisi zinazohusika na masuala ya mpakani kati ya Burundi na Kongo zimefurika baada ya maji kujaa katika Ziwa Tanganyika.
Burundi yaomba msaada wa haraka kufuatia mafuriko
Burundi yaomba msaada wa haraka kufuatia mafuriko
Mvua nyingi zinazonyesha zimesababisha maji ya ziwa kuzidi kuongezeka na kuyavamia makaazi ya raia na milima kuporomoko.
Wataalamu wa amani, usalama Maziwa Makuu wakutana Bujumbura
Wataalamu wa amani, usalama Maziwa Makuu wakutana Bujumbura
Wataalamu wanaohusika na masuala ya amani na usalama pamoja na kukabiliana na migogoro wanakutana mjini Bujumbura.
Watu 8 wauawa, kadhaa wajeruhiwa Burundi
Watu 8 wauawa, kadhaa wajeruhiwa Burundi
Watu wanane waripotiwa kuuwawa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya mashambulizi katika mkoa wa Bubanza.
Ndayishimiye aituhumu Rwanda kuwaunga mkono waasi wa Burundi
Ndayishimiye aituhumu Rwanda kuwaunga mkono waasi wa Burundi
Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi ameituhumu Rwanda kuwasaidia waasi wa Red Tabara wanaoishambulia Burundi.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo