1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

"Ulemavu si kilema!"

Nina Markgraf18 Juni 2015

Msemo huo umetimia kwa Dk. Abdallah Possi, mlemavu wa ngozi nchini Tanzania, kwa bidii kubwa aliyoifanya maishani na bila kujali changamoto zilizomkabili katika jamii. Amesomea uanasheria na kufaulu kujiendeleza katika taaluma hiyo kufikia kuwa mhadhiri wa maswala ya sheria katika chuo kikuu cha Dodoma. Amebobea katika taaluma hiyo licha ya kwamba ni mlemavu wa ngozi.

https://p.dw.com/p/1FjMP