1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwekezaji mwanamke nchini Rwanda amejizatiti kuwapa ajira watu wenye virusi vya Ukimwi

Sylivanus Karemera 16 Juni 2015

Idadi kubwa ya wafanyakazi wa bibi huyo mwenye kiwanda cha kutengeneza uyoga mjini Kigali ni wanawake. Na wengi wa wanawake hao wanaishi na virusi vya Ukimwi.

https://p.dw.com/p/1FhpV